Natafuta kitabu cha alfu Lela ulela

Malinyingi

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
864
164
Wakuu Habari zenu?
Nimekuwa nikitafuta kitabu cha alfu Lela ulela (chapisho la kwanza kwa Kiswahili ) takriban miaka minne sasa lakini sijafanikiwa zaidi ya kupata hivi walivyo durufu kwa mara ya pili na kupoteza ladha halisi ya kitabu kile..
Yeyote ambae anafahamu kinapo patikana anijulishe! Natanguliza shukrani
 
Nenda Mkuki na Nyota hapo Dar au duka la vitabu la serikali lipo samora karibu na sapna!
 
Chonde, chonde ndugu yangu. Usije ukanunua Alfu Lela Ulela zilizochapishwa na Mkuki na Nyota. Ni feki zimeghoshiwa halafu hovyo kweli.
Kama lugha ya malkia inapanda basi ni heri uvi download kwenye neti, utapata original version halafu ni bure.
 
Wizi huo! Piracy!
 
naomba utoe link ya kuvidownload mkuu
 
Nenda Mkuki na Nyota hapo Dar au duka la vitabu la serikali lipo samora karibu na sapna!

Mkuu Shadow hivi vya Mkuki na Nyota havina ile fleva ya alf Lela ulela kabisa, Mimi niliwahi kusomewa au kuhadithiwa tu sehemu ya hadith hizi Nikita darasa la tano mwaka 89, sasa Nina hitaji niwenacho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom