Natafuta kioo cha mbele cha Mazda CX 5

Nimesoma Review nyingi kuhusu Mazda Cx5 na moja ya matatizo ya hizi gari ni Kwamba kioo cha mbele ni rahisi sana ku Crack. Kwa uzi huu pamoja na CX5 nyingine mbili nimeziona zote zina Kioo cha brand ya XYG maana yake Wind Screen ilishabadilishwa. Na kuna CX5 moja nimeiona Juzi Maeneo ya Coco Beach nayo Kioo cha Mbele kina Crack upande wa Kushoto wote ila jamaa bado Hajakibadilisha.
Kweli kab.isa ata youtube wameomnyesha kwamba znashda sana na kioo cha mbele
 
Kweli kab.isa ata youtube wameomnyesha kwamba znashda sana na kioo cha mbele
Kipo Cha mbele vipo aina mbili Kuna chepesi kinauzwa 250 k pale gerezani na pia Kuna kizito kizito ndio the best na kinakaa poa sana na ni kigumu mno
 
Back
Top Bottom