Natafuta kijana mwenye uzoefu wa mauzo

chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
8,084
5,203
Natafuta kijana mwenye uzoefu wa mauzo au hana uzoefu lakini akionyeshwa fursa anaweza kuchakarika kuigeuza bidhaa kuwa fedha. anaweza kuwa na elimu ya kidato cha Nne, Sita, cheti au stashahada kwenye masoko. aliye tayari kujituma na kukabidhiwa biashara ili apambane.

Uaminifu unatakiwa kwa kiwango kikubwa sana kwa kuwa utajisimamia mwenyewe! anayehisi kwamba anaweza kubeba jukumu hili anifuate inbox tuyajenge, kabla ya kupeana fursa yenyewe!

Karibu.
 
Back
Top Bottom