Natafuta kijana kwa kazi za ufugaji hasa kuku

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
3,950
5,692
Nina mradi wa ufugaji kuku maeneo ya mkuranga mkoa wa pwani. Ninahitaj kijana wa kusimamia project hiyo maana mabanda tayar yapo na mazingira ya ufugaji yapo sawa. Eneo ni kijijin ila maji uhakika na umeme sola itafungwa.
Kama unakijana unayenfahamu au wewe mwenyewe ajira imekuwa ngumu basi wasiliana nami inbox kwa mazungumzo zaidi, ila sharti uwe na ABC ya mambo ya ufugaji hasa kuku
 
Back
Top Bottom