Natafuta kijana kwa ajili ya mauzo ya line za simu

Ova

Member
Feb 18, 2017
46
31
Anahitajika kijana wa kike kwa ajili ya kazi ya mauzo.
Bidhaa:line za simu mitandao yote,mpesa,tigopesa nk.
Sifa:
Uwe unaishi maeneo ya kigogo Pugu dar es salaam kwani ndio sehemu ya kazi.
Uwe na uwezo wa kutumia smartphone na uwe nayo.
Mshahara ni maelewano,piga simu 0624 627537
 
Anayehitaji kijana wa kazi ni mwanamke kwa hiyo angependa kufanya kazi na mwanamke
 
Wee ni Teamleader wa mitandao tajwa na unahitaji freelancer? If answer is yes, why mshahara uwe maelewano wakati malipo ya freelancer na teamleader hutokana na policy za mtandano husika..
 
Ni mtu ana ofisi yake,mpesa,Tigo pesa,line za sim nk.
 
hiyo fursa tupe hata wa kiume kwani tupo tulio waaminifu na tunaishi maeneo uliyotaja..!!!
 
Back
Top Bottom