Natafuta kijana anayejua kutumia computer vizuri nimuajiri katika kampuni yangu

We mbwa Kuna madaktari wanalipwa mishahara mpaka laki 5 wengine milioni 1.

Kuna wengine Hadi wanavolunteer.

Stupid A**$
Milioni 1 ni 350k Sasa??? Sasa unakubali kabisa uyo daktar anayelipwa 1m analipwa mara 5 ya customer service wako anayelipwa 200k alaf ulikua unakataa kitu gani??? ..... Alaf ata uyo daktar anayelipwa iyo hela na bado hiyo ni less amount anayotakiwa kulipwa according to salary scales.... Punguzu kula dagaa sana unaongea shudu
 
Nasemaje Kuna madaktari wanavolunteer na wengine tuko nao kitaa ng'ombe wewe usichoelewa Ni Nini?

Ulivyokuwa kichwa maji umekimbilia kujibu hizo figures?
 
Mkiwa na tapeli wenu mkuu Ontario kama engineer wa hio system ya upigaji?
Hakuna upigaji wala upigwaji system itakaa vizuri na vijana wa kitanzania wataweza kujipatia ajira pamoja na pesa za kujikimu kimaisha pia tutafanya press conference kubwa sana pale ppsssf
 
Kama ni.suala tu la mtu anayejua kutumia comp vizuri hata wa mtu wa kozi ya comp ya mwezi atakufaa.Mtu wa comp sci mshahara 350?.Comp sci sio kuhusu kujua kurumia comp vizuri mjomba
 
Kama ni.suala tu la mtu anayejua kutumia comp vizuri hata wa mtu wa kozi ya comp ya mwezi atakufaa.Mtu wa comp sci mshahara 350?.Comp sci sio kuhusu kujua comp vizuri mjomba
Tunahitaji maprofessional na mshahara utaongezeka kutokana na performance yake
 
Mnataka mtu wa kuwatengenezea Mamilioni ya pesa kwa Tsh 350k kwa mwezi?

Mna take for granted ugumu wa ku develop complex system haswa hizo za Block Chain

At least fanya kwanza analysis ya aina ya software au app developers wa bongo.... Jua wame base kwenye softwares za aina gani?

Kumpata block chain senior dev ni nadra na ni gharama sio tu tanzania

Na kwa tanzania nadhani ni developers wachache Sana wame invest huko, cause hakuna market kwa Tanzania
Plus itawa force wa deal na recent tech stacks ambazo ni ngumu kupata support ya community unapo kwama

Hakuna serious block chain devs ambaye atakubali kuwa humiliated kiasi hicho...

Ungejua hata tech stacks zinazotumika ungejiuliza mara mbili mbili kabla hujaandika hicho kiasi...

350k ni gharama ya kutengenezewa simple blog au ecommerce web app... Na hapo dev atakachofanya ni ku changes vitu vidogo kwenye webs alizo develop before... If serious mna hitaji scalable system tangazeni dau... At least 800k kwenda juu per features
 
Asante kwa mchango wako
 
Back
Top Bottom