NATAFUTA KIBARUA KAZI YOYOTE ILE HATA KIBARUA

King mkucha

Member
Oct 14, 2016
89
70
Mimi ni kijana naishi dar es salaam nina miaka 25 nahitaji kazi yoyote ile au hata kibarua chochote ila naomba kiwe nje ya dar .... nitafurahi sana kama nikipata
 
Ungeweka elimu yako ili watu wajue wanaanza wapi maana hata msaga juice bila kufika form 4 kwasasa ni kazi.
 
Kama ulifeli kwa nn unasumbua watu????

Kuna dada alikuw anatafta vijana wawil kwend kumfumania mme wake, kwa elim yako vp nikuunganishe mkuu..?

Tumia akili wewe, post inapokaa bila mtu kucoment inakuw chin sana lakin mtu akicoment anaifany inakuw juu so nirahic hata watu wengne kuiona..!I was helping

Very poor responses. Sidhani kama mngekutana na mtoa mada uso kwa uso mngeweza kutoa majibu haya. These responses are read by another person, hazishii tu hewani kama mnavyofikiria. Think twice next time kabla ya kutoa majibu yenu, kama mgependelea pia kupewa majibu hayo au la kama mngekuwa katika hali hiyo. It really saddens me seeing such poor responses on such posts.

Someni huu uzi upo katika moja ya jukwaa humu JF utawasaidia: LEARN TO BE NICE TO PEOPLE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom