Natafuta kibarua jamani kwa wenye kampuni au viwanda kama unania njema ya kunisaidia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kibarua jamani kwa wenye kampuni au viwanda kama unania njema ya kunisaidia

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Yona Edson, Feb 6, 2012.

 1. Yona Edson

  Yona Edson JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 1,630
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kwa kfupi hali mbaya mlio vitengo mtusaidie nasie wa chini namba yangu 0682-113313
   
 2. B

  BUBE JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 842
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu sasa si useme una-qualifications gani au unadhani kitengo watu wanaenda tuuu? Ni vema ujijue nini unaweza na nini unataka vinginevyo vitengo vitashindwa kukupatia fursa hata kuku-link maana hujafunguka mkuu
   
 3. Yona Edson

  Yona Edson JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 1,630
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  cjasema kazi nimesema kibarua
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,588
  Trophy Points: 280
  Hebu ni-pm elimu yako na mahali ulipo. Kuna mahali kuna kibarua.
   
 5. Eghorohe

  Eghorohe JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ur not serious,kibarua ni aina mojawapo ya kazi hata kama unalipwa kwa masaa au kwa kutwa,weka wazi shule yako maana watu hamjui kuwa darasa la saba ndo elimu haswa tena inaitwa ya msingi,au una uzoefu na vibarua vipi? Kuna kibarua cha kusuka nywele za kimasai kama unaweza sema hapa nikufanyie mchongo fasta,ukipenda hata South Africa utapelekwa maana ndo wanalipa zaidi.
   
 6. Yona Edson

  Yona Edson JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 1,630
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  O level
   
 7. Yona Edson

  Yona Edson JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 1,630
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Nipo o level naishi ubungo 21yrz
   
 8. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,849
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Sasa Kazi na masomo mbona haiwezekani? Utafanya kazi saa ngapi na utasoma saa ngapi? Nakushauri Soma Kwanza.
   
 9. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,532
  Likes Received: 1,435
  Trophy Points: 280
  Usije mpa kazi ya kubeba hilo gobore tu
   
 10. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Kweli kwa mtindo huu shirikisho la afrika mashariki hatuliwezi: Mkenya hapa ange-attach mpaka CV yake. Hii dunia ya ushindani ndugu, hakuna anayejali hali yako mbaya, mwajiri anataka wafanyakazi/vibarua wenye tija, uwe mtoto wa mkulima au tajiri, nobody cares, to hell with your poverty, all that we care is the value you can promise to our business.
   
 11. Eghorohe

  Eghorohe JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama upo O-level muda ni kikwazo,huwezi kufanya part time kwa hiyo level uliyopo,ungekuwa chuo alafu sio kilaza/kichwa darasani ningekupa akili ya kufanya part-time job. Mimi kama great Thinker nashauri Elimu kwanza japo najua una changamoto za hapa na pale hadi umefikiria kufanya kibarua.:spy:
   
 12. C programming

  C programming JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,439
  Likes Received: 1,329
  Trophy Points: 280
  mimi ninakushauri fanya customer care airtel
   
Loading...