Natafuta Kibarua cha kufua na kufanya usafi

KAMA unaweza kupata cheti cha kuanzia darasa la saba na kuendelea na kama unaweza kufanya kazi kwenye kampuni ya ulinzi ebu njoo kwenye kampuni yetu hapa unaweza kupata mshahala kuanzia 250k ambao kwa mtoto wa kike ukijibana kwa muda wa mwaka mmoja unaweza kupata mtaji...

kampuni hiyo ipo mikocheni b....pale kwa mwinyi...inaitwa GARDAworld
Gardaworld inachukua darasa la 7?
 
Nipe hii connection mkuu!
 
Form six boss
inahitajika uwe mrefu....tumia cheti cha kidato cha nne...
1,cheti cha kuzaliwa
2,kitambulisho cha nida
3.wadhamini wawili ambao watahitajika kufika ofisini
4, namba ya tin
ofisi ipo pale kwa Mwinyi mikocheni ukiwa unaelekea kawe...ama ukiwa unatokea kawe kwenda ubalozi wa marekani....hapo katikati kuna hicho kituo kinachoitwa kwa mwinyi...ukishuka hapo utaulizia zilipo ofisi za gardaworld...kama unavyo vigezo stahiki maelekezo mengine yote utapewa pale pale...hakuna hongo wala rushwa
 
Good
 
Habari wakuu, msaada wa kuokoa jahazi Jamani maana meli inakwenda mrama. Bado nipo katika harakati za kutafuta kiajira hata cha kujiingizia kipato kidogo. Najua humu Kuna watu Wana huruma na Wana uwezo wa kutusaidia watu kama sisi.

Mwenye connection ya kibarua chochote, mie nipo tayari kufanya, iwe Kazi za ndani lakini kwenda na kurudi, kufua, kiwandani.

Hata supermarket aniunganishe tu nifanye. Nina watoto wadogo wananitegemea kula yao na kusoma kwao, mpaka pesa ya kula inakosekana, tunashinda njaa.

Ni malaika wasio na makosa. Wenye huruma naombeni msaada wenu, hata wa kimawazo jamani, akili imefika mwisho kabisa.

Najua Kuna watu Wana huruma. Nipo Dar.
Watoto wako wana umri gani? Na una elimu gani?
 
Wakuu habari za muda huu jamani. Bado sijachoka kutafuta msaada umu, kwa mwenye uhitaji wa mfanyakazi katika ofisi yake au sehemu yake, Mimi Niko tayari. Maana mpaka sasa bado sijapata sehemu ya kujishikiza nazidi kuhangaika tu Ili nipate tonge la kuendesha siku na watoto. Shukrani.
 
Mungu akutangulie
 
Back
Top Bottom