Hi ninayo Key ya Microsoft 2007 full lincence..originalPC yangu nina ms word ya 60days only.
Nahitaji wa kunisaidia jinsi ya kupata key ya full license. Nitafurahi mkinisaidia mahali pa kuipata kwa bei nafuu.
Natanguliza shukrani.
Hii mbona inakataa mkuu?
jaribu hizi:Hii mbona inakataa mkuu?
iiish...kumbe student....!Hii ni student mkuu, nifanyeje?
Mkuu Sijui Nini, asante kwa msaada wako, ila zote zimegoma. Unaweza kuangalia error msg ninayoipata.
Tafadhali nipe alternatives.
Thanks
View attachment 39157
iiish...kumbe student....!
nenda hapa : YouSerials.com - Search results for serial number
Mkuu Sijui Nini, asante kwa msaada wako, ila zote zimegoma. Unaweza kuangalia error msg ninayoipata.
Tafadhali nipe alternatives.
Thanks
View attachment 39157
mkuu haina kulipia hapo...we ingiza neno microsoft office student 2007 kwenye sehem ya kusearch then itakuletea majibu ya link mbalimbali fungua hizo link(results) mojamoja utakuta keys zinazokubali...Sasa mkuu, nimepaona nimeona ms2007 natakiwa kulipa some amount, hebu nisaidie hawa jamaa nikilipa napata key kweli?
Asante
mfano mi nimepata hizi jaribu:Sasa mkuu, nimepaona nimeona ms2007 natakiwa kulipa some amount, hebu nisaidie hawa jamaa nikilipa napata key kweli?
Asante
jaribu hii
ddy79-433jv-2rxgx-mqfqp-pfdh8use ikishindikana Upgrade to Pro
Wakuu Mzalendo80 na Sijui nini nawashukuru sana, key imeitika. Asanteni sana wakuu kwa msaada wenu. Mi si mtaalum wa computer so was blind about this. Asanteni sana, hii ni kama mmechangia shule yangu iende vizuri. Mbarikiwe
Swali la mwisho wakuu, hivi ukiwa na MS office 2007 student, kuna tofauti gani na hiyo pro? hasa kama natumia kwenye laptop yangu? kuna kitu nakosa?
Na je hii key ina maana sitahitaji ku-upgrade tena.
Mbarikiwe