Natafuta kazi

lwa kalolo

Senior Member
Nov 24, 2014
141
225
Habari ndugu wana jf mimi ni kijana mtanzania mwenzenu natafuta kazi yoyote lakini ujuzi wangu ni operator uzoefu wangu ni miaka 5 kama operator nazijua mashine zifuatazo
Caterpillar 777dump truck
Komatsu 785 dump truck
Caterpillar785 dump truck
Terex 4400 dump truck
Caterpillar 843H whell dozer
Comatsu 350 excavetor
pia nnao uzoefu wa kufanya kazi dump poket kulisha na kuzibua.Pia leseni ya udreva ninayo,asanteni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom