Natafuta kazi

IDyangu

Member
Apr 24, 2014
99
22
Habari wana JamiiForums. Nimehangaika sana kutafuta kazi mpaka nimechoka. Nakujiajiri siwezi kwa sababu sina mtaji. Nakukaa nyumbani nimechoka. kwa hiyo ndugu zangu natafuta kazi hasa kama ya kuuza duka, au kwenye huduma za m-pesa au mitandao mingine. Nipo Shinyanga.

Asanteni.
 
Elimu yangu ni degree moja. nina uzoefu wa huduma ya m-pesa. nimeona elimu yaina umuhimu kwa kazi ninayotafuta ndo mana sikuitaja. asante mkuu
 
da yan nimeumia sana! sijui ni dunia nzima au hapa kwetu tu? usijal mkuu MUNGU yupo atakuwezesha tu.
 
pole sanah mkuhu husihache muhomba munguh mkuhu yeye hanajuha. pole sanah mkuhu munguh hawe nah weweh husichokeh mkuhu
 
this situation not only in your country, it's everywhere! as i told you before keep praying one day you gonna be a king. bless you...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom