Nina Shahada ya Sosholojia, natafuta kazi

Sukuma gal

Member
Apr 13, 2021
30
32
Habari za wakati WanaJF,

Kwa majina naitwa Annette nina shahada shahada ya sosholojia kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma.

Nimekuja mbele yenu nikiomba kazi yoyote Ile hata nje ya Taaluma yangu au sehemu yoyote ile ya kujitolea nipo tayari.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Uko wapi ? Kuna shirika linakuja wanaanza survey kwanza mshahara laki 4 .Ngoja nijaribu kukupambania.
 
Kwanii hy sosholojia ndioo mnapaswa kufanya mashirika gani. Na ni kazi zipii
 
Hawa huwa wanaingiliana na watu wa social work, community development, sociology. Kazi wanazofanya ni maendeleo ya jamii, ustawi wa jamii, watendaji wa kata, washauri nasaha, waratibu wa malezi ya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, kazi za uelimishaji na uhamasishaji wa magonjwa kama vile ukimwi, malaria, covid 19, n.k. Usuruhishi wa migogoro ya kifamilia, kijamii n.k. Kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali ndio huwatumia sana watu hawa lkn pia wanaweza hata kuanzisha mashirika as NGO's
 
Na hr pia wanafanya kazi izo
 
💯
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom