Natafuta kazi

sizani kama utapata kwani unaonekana wewe ni kilaza mferishaji..bachala ndo nini.tulijua mapema kabla hayajatoke kwamba UDOM ni bom hona sasa wahitimu wake..
 
NI WALE WALE TU NYIE,,, "Hona" ndo nini?? hauchekani na huyo mwenzako "bachala"
 
kaaaazi kweli. Ok tumsaidie alichoomba kama inawezekana maana natumaini mmemuelewa..
 
sizani kama utapata kwani unaonekana wewe ni kilaza mferishaji..bachala ndo nini.tulijua mapema kabla hayajatoke kwamba UDOM ni bom hona sasa wahitimu wake..

kwan kila kilaza wa hi nchi ni product ya udom jaman?
 
sizani kama utapata kwani unaonekana wewe ni kilaza mferishaji..bachala ndo nini.tulijua mapema kabla hayajatoke kwamba UDOM ni bom hona sasa wahitimu wake..

Si vyema kui-abuse UDOM kisa graduate wake,ni vyema ukamsema yeye kama yeye na si kumsema muelekeze kwa busara coz najua ukifanya hivyo hupungukiwi kitu mi naamini graduate wasiokidhi wapo na wanatoka kwenye kila chuo,mpeni msaada kama mmemuelewa sio kumponda,over
 
sizani kama utapata kwani unaonekana wewe ni kilaza mferishaji..bachala ndo nini.tulijua mapema kabla hayajatoke kwamba UDOM ni bom hona sasa wahitimu wake..

mkuu kabla hujamnyooshea kidole mwenzako jiangalie na wewe 'hona' ndo nini? Ila mchango wako upo powa!
 
Kama huangalii kupata mshahara wa 1mil kwenda juu!
Shule nyingi bado zinahitaji walimu wa sayasi mkuu!mshahara ndo ule wa TUVUMILIANE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom