Natafuta kazi ya udereva

grizzman

JF-Expert Member
Mar 24, 2015
225
401
Wakuu habari zenu.
Jmn mimi ni kijana mtanzania natafuta ajira.nna uzoefu wa fundi gerej(nna cheti cha veta),dereva uber na piki piki(kusambaza bidhaa mbali mbali)
ASANTENI. SHUKRAN
 
Habari wanandugu.

Wakuu nilikua naomba kama kuna mtu anawazo la kutoa mkataba wa gari aina ya IST au passo.iwe used au mpya kwajili ya uber mimi nipo tayari jamani.

Nawasilisha.
 
utaleta sh ngapi kwa wiki?

Nani atajaza mafuta, nani atahudumia service ya kawaida, nani atawajibika na Traffic fine, unapenda gari liwe na bima aina gani, uatafanya kazi masaa mangapi kwa siku, kama gari haifanyi kazi usiku itapakiwa kwako au kwangu, je una uzoefu wa udereva miaka mingapi na je unaweza onyesha CV yako kwa tajiri, je una wadhamini wanaoweza kukudhamini mali isiyohamishika etc...
 
Haya si umuulize binafsi?
 
Njoo pm mkuu
 
Hayo ndio maswali msingi katika biashara ya Uber?

Nani atajaza mafuta, nani atahudumia service ya kawaida, nani atawajibika na Traffic fine, unapenda gari liwe na bima aina gani, uatafanya kazi masaa mangapi kwa siku, kama gari haifanyi kazi usiku itapakiwa kwako au kwangu, je una uzoefu wa udereva miaka mingapi na je unaweza onyesha CV yako kwa tajiri, je una wadhamini wanaoweza kukudhamini mali isiyohamishika etc...
 
Kama kichwa cha habari kinajielezea. Mimi nna uzoefu na pikipiki, gari(za Uber) na nna certificate mechanics. Naombeni sana wadau kama kuna mtu ana conction tusaidiane jamani hali ngumu.

Asanteni.
 
Asanteni
Mbona Nafasi za Udereva huwa nyingi sana mkuu.
 
Habari za asubuhi wa TZ wenzangu.

Wajumbe, kijana wenu nilikua naomba kama kuna mtu ana conection za kazi ya udereva. Nilikua naomba sana jmn kwan nipo juu ya mawe. Pia nina ac ya Uber na Bolt, kama kuna mtu ana gari ya hesabu au mkataba niko tayari.

20210525_074352.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom