Natafuta kazi

kim000

Member
Sep 8, 2018
8
4
habari wapendwa natafuta kazi ya udereva kulingana na uzoefu wangu kwa mwaka mmoja sasa leseni yangu ni daraja D pia elimu yangu ni cheti cha form four ninao uzoefu na sifa za dereva bora kabisa..kama kuna kazi ndugu mshahara me nafanya kazi sawa na bure
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom