Natafuta kazi

JUSTIN QYALUZ

New Member
Feb 15, 2019
2
1
IVI MTU UNAWEZA UKATAFUTA UKADANGANYA??...mtu unamwambia upo katika kazi ya umeme unauzoefu wa miaka sita, ila anakataa wakati vyeti vipo na vinaonesha na cv pia kila kitu eti kisa mtu kasema anamiaka ya umri miaka ( 20 )wanaona ajabu. Jamani watanzania wenzangu maisha saivi wamebadilika...kufanya kazi si hadi uwe na miaka ( 30 ). Kazi ni akili na elemu na ujuzi....iweje mtanzania ushangae??????

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom