Natafuta kazi

Da Best Tz

New Member
May 23, 2018
1
20
Naitwa Baraka James Naishi Musoma Mjini katika Mkoa wa MARA Nina Umri wa Miaka 20 Elimu yangu ni ya Kidato Cha nne... Natafuta Kazi Hasa Katika Upande wa Computer
Nimebobea Katika Kazi Hizi:
> Video Editing & Shooting (ie: Mikanda ya Harusi, Nyimbo aina Zote pamoja na Filamu) Nina Uzoefu wa Miaka Mine [4]
> Graphix Design (ie: Photo Editing, Mabango ya Biashara, Kubadili Backgrounds, Cover za Masherehe na Hata Filamu Pia n.k)
> Microsoft Office
> Laminating
> Pamoja na Mambo yote ya stetionery

Napatikana Kwa Simu Namba +255 0622 239 359 (Halotel)
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
23,353
2,000

Umesomea hayo unayoyasema au umejifunza kijanja janja kisanii sanii mtaani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom