Natafuta kazi

Aug 17, 2017
40
15
Mimi ni msichana ninaelimu ya kidato cha nne nipo kigoma.

ninatafuta kazi ya stationary/Secretary / reception ninauzoefu na kazi hizi kwa mda mrefu sana. Pia hata kazi za kuuza bidhaa zozote.

ambaye ana connection na mtu anaehitaji mfanya kazi wa kazi hizo au yeye mwenyewe Tafadhali ni PM
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26 ninaelimu ya kidato cha nne nipo kigoma.

ninatafuta kazi ya stationary/Secretary / reception ninauzoefu na kazi hizi kwa mda mrefu sana. Pia hata kazi za kuuza bidhaa zozote.

ambaye ana connection na mtu anaehitaji mfanya kazi wa kazi hizo au yeye mwenyewe Tafadhali nitafute.
no. 0743 109 175
ngoja waje mkuu....
 
Mimi ni msichana ninaelimu ya kidato cha nne nipo kigoma.

ninatafuta kazi ya stationary/Secretary / reception ninauzoefu na kazi hizi kwa mda mrefu sana. Pia hata kazi za kuuza bidhaa zozote.

ambaye ana connection na mtu anaehitaji mfanya kazi wa kazi hizo au yeye mwenyewe Tafadhali ni PM
Tunahitaji wafanyakazi wawili (wa kike) i wenye uzoefu na staionary.computer na pia kufundisha au kuelekeza wanafunzi kutumia computer.Pia awe na uwezao wa kusimamaiaw wengine ofisini wasiliana nasi -0717157640
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom