mbena yero
Member
- Jan 13, 2017
- 53
- 21
Habari za muda huu, mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 25, elimu yangu ni kidato cha nne nipo mkoa wa Iringa, nipo hapa kutafuta kazi kwa yeyote yule anae weza nisaidia, ninauzoefu na biashara.Asanteni
Mimi kijana wa kiumeWewe ni kijana wa kiume au MWANAUME?
Asante mkuuGoodluck mkuu
Ubarikiwe nduguKila kheri