Natafuta kazi

mbena yero

Member
Jan 13, 2017
53
21
Habari za muda huu, mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 25, elimu yangu ni kidato cha nne nipo mkoa wa Iringa, nipo hapa kutafuta kazi kwa yeyote yule anae weza nisaidia, ninauzoefu na biashara.Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom