mbena yero
Member
- Jan 13, 2017
- 53
- 21
Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni kijana wa kiume Elimu yangu ni kidato cha nne, umri wangu ni miaka 25 nipo mkoa wa Iringa, Natafuta kazi yeyote halali mahali popote nipo tayari kufanya, Asanteni.