Emojis
Senior Member
- Jan 4, 2017
- 191
- 219
Habari wana jukwaa mie ni kijana wa kike niliyemaliza chuo kikuu mwaka 2013 katika fani ya baking na finance nimefanya kaz za kujitolea za uhasibu katika makampuni mawili na sasa nimeona nije hapa kutafuta ajira nami nijiingizie kipato sibagui kazi yoyote na popote nafanya yoyote anaweza kuniunganisha sehemu yyte nitashukru sana sana jamani, nauhitaji sana wa kufanya kazi hata kama ni temporary
Natanguliza shukrani be blessed all.
Natanguliza shukrani be blessed all.