Natafuta kazi

mtabe Jr

Member
Mar 12, 2017
41
11
Ni mwalimu wa biology, physics na mathematics .Ni mzoefu kufundisha . Ready kufundisha popote.
 
Kama walimu wa biology physics na mathematics uandish wenu ndio hiv bhas tusahau kuwa na ma doctors,engineers wa maana yan unashindwa hata kusema ni tcha wa ngaz gan!hebu specify bwana kama ni o level au advanced!, alaf ww jamaa ni kichwa kias gani na ni chuo gan kimeweza kujenga mtu wa kufundisha masomo matatu!
 
Tcha wa o level phy na bios ila nafndsha na math uwezo binafsi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom