hand to hand
New Member
- Mar 3, 2017
- 3
- 0
Habari zenu wana jf, jinsia (ke) nimesomea secretarial & computer, ndugu nipo mbele yenu kutafuta kazi yoyote ile halali ingawa ninauzoefu na kazi za stationary kwa miaka 2 na nusu. Naombeni msaada wenu nduguzangu.