Natafuta kazi

Standark

New Member
Jun 4, 2016
2
0
Mimi ni mvulana mwenye miaka 20, nina afya kamili, nimemaliza kidato cha sita mwaka 2016, hivyo nahitaji kazi kwa muda [temporary] aidha sheli, hotelini au kuuza duka.

Nipo Tanga Tuwasiliane 0742954318.
 
Elimu yako na jinsia yako! Kuna wengine kipaumbele chao cha ajira ni elimu ya muombaji, au jinsia yake ili kuweka usawa kazini! Japo lipo jingine linalotuumiza la uzoefu na kazi husika unayoiomba!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom