Natafuta kazi za viwandani, naomba msaada wa kuunganishwa

MNYWABUJU

JF-Expert Member
Sep 6, 2018
260
327
Mimi ni kijana Mtanzania umri miaka 23. Natafuta mtu atayeweza niunganisha na kazi katika kiwanda chochote Niko tayari kufanya kazi, nitashukuru sana nikifanikiwa.

Asanteni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom