Natafuta kazi za ndani (house boy) ndugu zangu nisaidieni

Umri wangu na maisha ninayopitia nahisi kuja kuwa chizi badae.

Sina mahusiano na sihisi kupenda nalala kuamka ndoto yangu haitimii maisha ya shida ndio kwanza najitegemea wazazi hawana uwezo na mtaji Sina nipe job kunikomboa kama mama mpishi,mtunza bustani au mfugaji.

Naelekea kupoteza ndoto zangu kula mlo Mara mojanashinda na njaa wazazi hawana uwezo ndio kwanza najitegemea Sina kitanda nalala kwa mkeka nipe job unikomboe

Elimu certificate isiyo na manufaa ajira hakuna mtaji Sina

Sina mbegu wala sihisi kupenda nipe job naelekea kufa
Mkuu sorry kwa hili swali ninalokuuliza.
Huko kwenu tanga kwa wazee hakuna shamba la kuweza kulima hata bustani ya mazao uuze upate pesa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom