Natafuta kazi za kujitolea kwenye Mashirika ya Umma na Ofisi za Maendeleo

ashraf770

New Member
Jul 26, 2021
1
1
Niko masasi mtwara nimesoma shahada ya maendeleo ya jamii(BA-DS).natafuta mashirika husika,yanayohusiana na maendeleo ya jamii kwa ajili ya kujitolea ili niongeze weledi zaidi katika fani yangu.

Nina sifa zifuatazo kwa uchache

1.community organizer
2.matumizi ya computer kama vile Spss,
3.nimekua nikijotelea ktk shughuli mbalimbali za maendeleo ya jamii ktk ngazi ya kijiji.
4.mjasili amali
5.muhitimu wa elimu ya juu(degree) ya maendeleo katika chuo cha dodoma.

Ombi kwa yeyote mwenye kunipa ushauri,kuniunganisha,kunipa maelezo zaidi kuhusiana na elimu yangu,aina gani ya mashirika nayakidhi,sehemu gani yanapatikana.kalibu sana unisaidie.

Lengo kuu sio ajira ni kujitolea kwa mdaa naomba kuwasilisha kwa jina la muungano wa tanzania.
Phone no 0784088722
0717155561
email.ashrafbalet770gmail.com
 
Back
Top Bottom