Natafuta kazi za Freelancing nifanye kama part time job

Neyahoo

Member
Sep 7, 2019
55
125
Habarini wanandugu wa JF

Kichwa Cha habari hapo juu kinajieleza,nlikuwa naomba kwa wanajf wenzangu ambao mnapata kazi nyingi kwenye hizi sites za freelancing Kama upwork,guru na zinginezo naomba mtusaudie na sisi newbie.

Najua Kuna watu wanapata kazi nyingi mpaka wanazikataa nlikuwa naomba mtugaie na sisi ambao hatupati izo chance.

Unaeza ukanipa kazi kwa makubaliano nkimaliza nairejesha kwako halafu wewe ndo utaipitia ukiridhika ndo utampa client wako.nlijaribu lkn nmekumbana na changamoto mbalimbali ikiwemo njia ya malipo Paypal haipokei hell Tanzania,wire transfer ni garama Sana.Naitaji kazi ya kunipatia hell ya kujikimu tu kipindi iki ambacho nipo chuo nasoma Sina mkopo ada nalipiwa na mzazi kuendesha maisha na ela kidogo ya pocket money ni ngumu Sana.

Naombeni msaada wenu wakuu.kazi ninazoweza kufanya ni article writting, translation (English,Swahili badae ntaweza kujua na Chinese ndo najifunza saiv) transcription, interpretation,voice over na bado ujuzi mwingine naendelea kujifunza.Kama Kuna mtu anazo kazi Basi karibu pm tuongee
 
Aug 31, 2021
41

Nicheki pm tuyajenge!
 
Mina joh

Member
May 23, 2021
57
95

Ulipata tupe muongozeo na ss tupate part time job
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom