Natafuta kazi yoyoyte ndani au nje ya Kahama

Farwesttz

Member
Jul 17, 2021
43
54
Kwanza kabisa niwasalimu ndugu wote wana jf, mimi nikijana mwenye 25yrs, elimu degree, naishi kahama, nimekuja mbele zenu kwa unyenyekevu mkubwa naombeni kwa yeyoyote.

Mwenye connection ya ajira iwe rasmi ama isiwe rasmi hata ukondakta niko tayari kufanya kwa uaminifu mkubwa na moyo wangu wote ilimradi mkono uende kinywani iwe kahama au nje ya kahama popote pale.

Hali ni ngumu wanajamvi, natanguliza shukrani zangu kwenu. namba zangu ni 0692701879.
 
Dah,hali kweli ni ngumu,degree anataka ajira yoyote!this world is moving too fast...
 
Kwani lazima uajiriwe? Angalia fursa huko uliko tumie elimu yako kupata pesa
 
Kama ungekuwa unataka kazi yeyote tu basi hukuwa na haja ya kusema unadegree.

Lakini kwa kuwa unataka kazi yeyote na unadegree basi sema ni degree ya nini, ili ujaribu kotekote, huwezijua...
 
Sawa, bc mpe mtaji ajiajiri au muajiri au mpe hizo mbinu za kutumia elimu yake kujiajiri
Unadhani kujiajiri ni mpaka uwe na mtaji. Nguvu ulizozaliwa nazo pia ni mtaji tosha. Ni fikra tu za kimaskini ndio zinawafanya vijana kuzidi kuwa maskini. Mbona mkienda nje nchi kama South Africa mnajituma mpk mnapata mitaji ya kufungua biashara na kufanikiwa. Vijana ni wavivu sana na mna mentality ya kubweteka. Ukiona mzazi wako alikuwa na kazi nzuri na nyie mnataka mpitie njia hiyo hiyo wakati dunia imeshabadilika
 
Kwanza kabisa niwasalimu ndugu wote wana jf, mimi nikijana mwenye 25yrs, elimu degree, naishi kahama, nimekuja mbele zenu kwa unyenyekevu mkubwa naombeni kwa yeyoyote.

Mwenye connection ya ajira iwe rasmi ama isiwe rasmi hata ukondakta niko tayari kufanya kwa uaminifu mkubwa na moyo wangu wote ilimradi mkono uende kinywani iwe kahama au nje ya kahama popote pale.

Hali ni ngumu wanajamvi, natanguliza shukrani zangu kwenu. namba zangu ni 0692701879.
Wewe degree yako inahusu masuala gani?Kahama ndo nyumbani?
 
Back
Top Bottom