Kalaga baho
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 5,450
- 11,198
Atafanya mkuu kasema yoyote . akishindwa wapo watakaowez humuHata ya nyumbani?
Atafanya mkuu kasema yoyote . akishindwa wapo watakaowez humuHata ya nyumbani?
Yes BossHata ya nyumbani?
Shukrani nduguTembelea hii page
View attachment 1945028
Mungu akutangulieHabari wanaJF,
Mimi ni kijana wa kitanzania Umri 25. Nafuta kazi yoyote ya halali yenye kwa malipo ya fedha yoyote kwaajili ya kujikimu kimaisha.
Nina Degree YA PROPERTY AND FACILITIES MANAGEMENT.
Nipo tayari Kufanya kazi yoyote hata isiyo hitaji taaluma.
Asante.
Dar es salaam (Makazi