Natafuta kazi yoyote

Dah moderators umu siku hizi mmekua fb.
Mkuu usidhani kama wewe unamaisha mazuri unahaki ya kutudhihaki sisi tunaoshinda humu kutafuta ajira...maisha yanabadilika mkuu usidhani sisi tutaendelea kuwa hivi kila siku or na wewe utaendelea kuwa hapo ulipo milele...kuna siku unaweza kupata shida na sisi unaotudharau humu ndo tukawa sehemu ya msaada kwako...maisha yanabadilika
 
Mkuu umeongea kwa uchungu sana.. pole kaka, siku yako ipo yote yatakuwa historia
 
Mkuu usidhani kama wewe unamaisha mazuri unahaki ya kutudhihaki sisi tunaoshinda humu kutafuta ajira...maisha yanabadilika mkuu usidhani sisi tutaendelea kuwa hivi kila siku or na wewe utaendelea kuwa hapo ulipo milele...kuna siku unaweza kupata shida na sisi unaotudharau humu ndo tukawa sehemu ya msaada kwako...maisha yanabadilika
Rafiki umeongea kwa hisia na uchungu sana,maisha ni magumu sana kwa hiyo mtu anapotafuta kazi apewe msaada kama inawezekana bali sio kudhihakiwa
 
Ilibaki kidogo nilie baada ya jamaa yangu kuongea kwa uchungu sana,haya ni maisha tu nipo pamoja na wewe kaka nami natafuta kazi yoyote isiyohitaji mawasiliano sana.

Mabosi mtuguse jamani
 
Natafuta mdada anayejua kupika chakula vizuri natalajia kufungua mgahawa hivi karibu mwenye uhitaji anitafute mshahara tutaelewa ndo naanza biashara
Msafi
Anayejua kupika chakula vizuri sana
0656804462
0688933170
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom