Natafuta Kazi Yoyote

Peter Lemi

Member
Mar 30, 2016
39
62
Habari,

Mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha 6 na kufeli. Natafuta kazi yoyote halali. Ninajua kuongea kiingereza, kifaransa na Kiswahili. Ninajua Computer Programs (microsoft office, photoshop, pinnacle, na adobe premiere). Pia naweza kupiga picha za mnato na video (photography and video shooting) na naweza kutengeneza blog. Experience nishawahi kufanya kaz studio ya picha, Hotel receptionist. Mwenye kazi au atakayependa kuniajiri kwenye kazi yoyote naomba anitafute 0786143441.

Ahsante.

Nb: mshahara wowote ila nitashukuru kama ukianzia laki na hamsini 150000/=
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom