Natafuta kazi yoyote ya kunipatia kipato, naishi Dar

beny jr

JF-Expert Member
Jul 15, 2018
822
1,133
Habari wanajamvi mimi nikija nina miaka 26 nadhani kama mtakumbuka miezi kadhaa niliandika topic ya kuomba ushauri baada ya kudisco chuo nimekaa nimetafakari naona kama nachanganyikiwa nimepoteza direction, naomba yeyote mwenye mapenzi mema anasaidie kupata kibarua au kama kuna mahali wnatafuta kijana mchapakazi na muaminifu nipo tayari kufanya kazi yoyote
 
USIOGOPE mkuu. By the way so lazima uwe na degree!

Nimekufata PM
 
Hilo LA kudisco wala lisikuumize kichwa yaweza kua ni bahati mbay tu wangap wana degree maisha bado magumu wew pamban tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom