Natafuta kazi yoyote ya information technology (it)

mtambo mlay

Member
May 27, 2013
6
0
jamani wanajamii wa forum natafuta kazi yoyote ya IT kama networking installation,configuretion and maintenance,software development,knowledge ya PHP and Mysql,oracle,Linux na window server 2003,computer servicing and maintenan,database management.Kwa yeyote ambaye anaweza akanidirect anaweza akanicall kwa +255 (0) 658261309,+255 (0) 758261309
 
mzee nitumie vocha kwenye inbox yangu nikupigie sasa hivi nikupe mchongo wa kazi.
 
jamani wanajamii wa forum natafuta kazi yoyote ya IT kama networking installation,configuretion and maintenance,software development,knowledge ya PHP and Mysql,oracle,Linux na window server 2003,computer servicing and maintenan,database management.Kwa yeyote ambaye anaweza akanidirect anaweza akanicall kwa +255 (0) 658261309,+255 (0) 758261309
KAKA WAHI KUAPPLY POLISI TANZANIA WAMETOA NAFASI ZA KAZI, OVER:yell:
 
badala ya kusaka ajira unaweza kuji ajiri!karibu uwe partiner wa romtanzania,hii ni website ya matangazo ya biashara!!na kwasasa tunatafuta partiner atakae husika zaidi na kumaintain website. kwa maelezo zaid..wasiliana hapa; canmox@yahoo.com
 
Duh jamani mbona sasa taaelekea pabaya yaani kusoma usome kazi ukose haaaaaa
 
Back
Top Bottom