Natafuta kazi yoyote ya halali

mbena yero

Member
Jan 13, 2017
53
21
Habari za muda huu ndugu zangu, nakuja tena kwa awamu nyingine mimi ni Mwanaume umri wangu ni miaka 25 Elimu yangu ni kidato cha nne, nipo mkoa wa Iringa, nipo hapa kutafuta kazi kwa yeyote atakae kuwa na uhitaji wa mfanyakazi au kwa yeyote atakae nisaidia hatua au ushauri wowote juu ya hili ombi langu, Asanteni
 
Kazi Hata ya kutunza garden?au Duka?ungeweka wazi kwanza unapendelea nn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom