Habari zenu ndugu wapendwa .
Poleni na majukumu ya kujitafutia mkate wa kila siku.
Ndugu zanguni naandika uzi huu kwenu nikiwa muhitaji wa kazi kutoka kwa mtu yeyote ambaye atakua na fursa hiyo kwangu.
Kwa professional, mimi nimesoma MEDICAL LABORATORY SCIENCES ngazi ya diploma. Hivo kama kuna mtu atahitaji mtumishi wa kufanya nae kazi katika tasnia hii mimi nipo tiari kwa uaminifu mkubwa kabisa.
Mbali na kazi ya taaluma yangu, pia sibagui kazi. Kwa mfano naweza kufanya kazi yoyo kama stationary, kuendesha bajaji na bodaboda, kusimamia lodge, viwandani, kibarua cha ujenzi, kondakta wa mabasi na daladala na kazi nyingine nyingi zote zilizo halali kwa sheria za nchi.
Ndugu zanguni nawahakikishia uaminifu mkubwa katika kazi kwa mtu ambaye atahitaji kufanya kazi nami.
UAMINIFU NI MFEREJI WA MAFANIKIO MAISHANI.
Kwa sasa napatikana Dodoma Mjini lakini popote Tanzania nipo tiari kufanya. hivyo wapendwa mtu aliye tayari kunisaidia ani PM
Asanteni sana wana JF