Natafuta kazi yoyote, nina shahada ya elimu katika hisabati

safetymaster

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
209
252
Habari wana jukwaa!

Mimi ni kijana niliyehitimu shahada ya elimu katika hisabati ninaomba mwenye channel ya kuniwezesha kupata kazi anisaidie mana hali sio nzuri.

Kama nilivyosema "natafuta kazi yoyote" itakayoniwezesha kujimudu mimi na kusaidia wazazi japo kidogo, nipo tayari Kwa hilo.

Kazi ambazo naziweza Kwa ufanisi mkubwa na nina uzoefu nazo ni kufundisha hisabati na kusimamia store naamini katika kujifunza, hivyo kazi zingine ninaweza kuzifanya huku nikijifunza.

Naamini pia jamiiforum ni mtandao unaowakutanisha watu wenye utofauti wa hadhi, fikra, maono na mtazamo na uhitaji tofautitofauti. Hivyo basi, Kwa Wale watakaowiwa kunisaidia nitakuwa tayari kuwatumia CV yangu katika PM.

"MAFANIKIO YANAPATIKANA KWA NJIA NYINGI,"

Safetymaster,
Songwe.
 
Ndaga nkamu Kila la heriii
 
Wadau jf,narudi kwenu tena!Ninatafuta kazi yoyote,bado sijapata.Kitaaluma Mimi ni mwalimu wa hisabati (Bachelor of Education in Mathematics).
Nitashukuru sana kwa yeyote atakaenisaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia matangazo humuhumu kuna tangazo lilitokaga wanaitaj ticha wa hisabati litafute uwezi jua.
Alafu kama uko mjin nyie waalim Wa hesabu n lulu nenda kwa wanaofungua tution hauwezi kukosa.
 
Nimeliona tangazo mkuu,ila anasema hahitaji wenye elimu zaidi ya diploma.
Screenshot_20181230-164736.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom