Natafuta kazi yoyote nina cheti cha IT

Jooh mbona mm sijasoma lkni hali mbaya kichizi hata buku la vocha shida..
Tupeane connection basi.
Dhaaa!!! Kweli sometimes
Elim/shule haina maana
Kama umesoma af kupata kaz n mbinde

Hata tulioishia st kayumba tunakula bhata kuliko
Wenye elim yao
 
Una cheti cha IT halafu unatafuta kazi yoyote? Unataka kazi ya kuingia isiku,nitafute nikupe kazi ya ulinzi..!!
 
Mkuu katika field yako ya IT umebobea katika maswala gani
Maana kuna mtu amebobea katika

1.DESKTOP SUPPORT AND CUSTOMER CARE SERVICES

2.COMPUTER SERVICES TECHNICIAN.

3.WEB DESIGN AND ADMNISTRATION.

4.SECURITY SYSTEM INSTALLER

5.WIRELESS TECHNOGY SPECIALIST

6.LOCAL AREA NETWORKING

7.DATABASE ADMNISTRATION

8.ANDROIB MOBILE APPLICATION DEVELOPER

9.NETWORK CABLING AND TRUNKING TECHNCIAN.

10.NETWORK DESIGNING AND CONFIGURATION OF NETWORK DEVICES.

12.WIDE AREA NETWORKING

13.COMPUTER APPLICATIONS TRAINING EXPART hapa nina maana are u able to teach computer courses.

Sasa mpaka ningependa kufahamu umebobea katika eneo lipi ili nikupe maelekezo organazion wanao deal na IT EXPART NA IT REQUITMENT AGENCY IN TANZANIA
Qaaaaah aaah aaah sio kwa certificate ya bongo tena usikute amazon college.... labda kama alikua vizur tokea kwao.....
All the best.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom