Natafuta kazi yoyote nina cheti cha IT

babamtarajiwa

Member
May 15, 2017
73
37
Natafuta kazi yoyote halali nina certificate ya information technology na itakuwa vizuri, nikipata sehemu ambayo nitakua naingia jion /usiku
 
hata kufuga kuku njoo nikuweke ktk ulinzi wa mabanda yangu ya kuku na mbuzi huku kigambonu nitakulipa milioni moja kwa mwezi
 
Natafuta kazi yoyote halali nina certificate ya information technology na itakuwa vizuri, nikipata sehemu ambayo nitakua naingia jion /usiku
Mkuu katika field yako ya IT umebobea katika maswala gani
Maana kuna mtu amebobea katika

1.DESKTOP SUPPORT AND CUSTOMER CARE SERVICES

2.COMPUTER SERVICES TECHNICIAN.

3.WEB DESIGN AND ADMNISTRATION.

4.SECURITY SYSTEM INSTALLER

5.WIRELESS TECHNOGY SPECIALIST

6.LOCAL AREA NETWORKING

7.DATABASE ADMNISTRATION

8.ANDROIB MOBILE APPLICATION DEVELOPER

9.NETWORK CABLING AND TRUNKING TECHNCIAN.

10.NETWORK DESIGNING AND CONFIGURATION OF NETWORK DEVICES.

12.WIDE AREA NETWORKING

13.COMPUTER APPLICATIONS TRAINING EXPART hapa nina maana are u able to teach computer courses.

Sasa mpaka ningependa kufahamu umebobea katika eneo lipi ili nikupe maelekezo organazion wanao deal na IT EXPART NA IT REQUITMENT AGENCY IN TANZANIA
 
Dhaaa!!! Kweli sometimes
Elim/shule haina maana
Kama umesoma af kupata kaz n mbinde

Hata tulioishia st kayumba tunakula bhata kuliko
Wenye elim yao
 
Mkuu katika field yako ya IT umebobea katika maswala gani
Maana kuna mtu amebobea katika

1.DESKTOP SUPPORT AND CUSTOMER CARE SERVICES

2.COMPUTER SERVICES TECHNICIAN.

3.WEB DESIGN AND ADMNISTRATION.

4.SECURITY SYSTEM INSTALLER

5.WIRELESS TECHNOGY SPECIALIST

6.LOCAL AREA NETWORKING

7.DATABASE ADMNISTRATION

8.ANDROIB MOBILE APPLICATION DEVELOPER

9.NETWORK CABLING AND TRUNKING TECHNCIAN.

10.NETWORK DESIGNING AND CONFIGURATION OF NETWORK DEVICES.

12.WIDE AREA NETWORKING

13.COMPUTER APPLICATIONS TRAINING EXPART hapa nina maana are u able to teach computer courses.

Sasa mpaka ningependa kufahamu umebobea katika eneo lipi ili nikupe maelekezo organazion wanao deal na IT EXPART NA IT REQUITMENT AGENCY IN TANZANIA
13. Ndo nimebobea huko mkuu
 
Swali la kufikirisha

Wakati unaamua kusoma iT ulikua na maono gani kuhusu kozi uliyosomea, tuanzie hapo labda!
 
Desktop support and customer care service
Ok vizuli sana mimi upande wangu ningekushauli mambo makuu matatu kama upo serious katika kutafuta kazi za IT.....

1.andaa CV yako vizuli plus ambayo inazungumzia skills zako za DESKTOP SUPPORT AND CUSTOMER CARE.

2.baada ya kuandaa siku za jumanne peleka cv yako katika ofisi zifuatazo ISON QUALITY CENTRE, EROLINK MIKOCHENI, CV AFRICA MNAZI MMOJA UKISHAPELEKA AFTER THREE WEEKS UTAITWA KWENYE INTERVIEW.

3.Tatu ningependa upeleke cv zako UCC POSTA WANA KITENGO CHA IT REQUITMENT SERVICE OMBA NAFASI YA KUFUNDISHA COMPUTER APPLICATION HUWEZI KUKOSA ILA VUMILIA MISHAHARA YAO COZ NI MDOGO SANA
 
mkuu cheti chako ni cha ngazi ipi, isije kuwa ni certificate , maana tanzania nayo kwa vyeti inaongoza
 
Ok vizuli sana mimi upande wangu ningekushauli mambo makuu matatu kama upo serious katika kutafuta kazi za IT.....

1.andaa CV yako vizuli plus ambayo inazungumzia skills zako za DESKTOP SUPPORT AND CUSTOMER CARE.

2.baada ya kuandaa siku za jumanne peleka cv yako katika ofisi zifuatazo ISON QUALITY CENTRE, EROLINK MIKOCHENI, CV AFRICA MNAZI MMOJA UKISHAPELEKA AFTER THREE WEEKS UTAITWA KWENYE INTERVIEW.

3.Tatu ningependa upeleke cv zako UCC POSTA WANA KITENGO CHA IT REQUITMENT SERVICE OMBA NAFASI YA KUFUNDISHA COMPUTER APPLICATION HUWEZI KUKOSA ILA VUMILIA MISHAHARA YAO COZ NI MDOGO SANA
Asante nashukuru ila ni mnazi mmoja sehemu gan ofis za cv Africa hasa walipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom