Natafuta kazi yoyote niko Dar es Salaam

Dec 20, 2016
98
109
Jina: Titus
Mkazi: Tegeta DSM
Umri: 26
Elimu: kidato cha sita

Kwema wana jukwaa nimekuja mbele zenu kijana wenu sina kazi kwa sasa baada na kuathiriwa na zoezi la kuhamisha wamachinga ambapo nilikuwa nauza bidhaa za mtu na kujilipa hapo hapo na uzoefu na kazi zifuatazo:
  • Store keeper
  • Sales
  • Fleet management
  • Ujenzi fundi nondo
  • Uchimbaji visima
Napatikana DSM

Mawasiliano 0657710078
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom