Natafuta kazi yoyote na nina diploma ya secretary & office management

eva charles

New Member
Nov 6, 2017
1
1
Jina langu ni Eva Charles Kigahe,

Natafuta kazi ya secretary/receptionist/customer care, nina diploma ya secretary & office management, Computer application.

Lakini pia najua kusuka baadhi ya mitindo najua kupika vitafunwa vya aina vyote na vyakula pia. Na pia najua kushona mazuria na pompom pia.

Asanten
 
Jina langu ni eva charles kigahe.natafuta kazi ya secretary/ receptionist/ customer care, nina diploma ya secretary & office management
Computer application. Lakini pia najua kusuka baadhi ya mitindo najua kupika vitafunwa vya aina vyote na vyakula pia
Na pia najua kushona mazuria na pompom pia.

Asanten
Mkoa gn upo
 
Jina langu ni Eva Charles Kigahe,

Natafuta kazi ya secretary/receptionist/customer care, nina diploma ya secretary & office management, Computer application.

Lakini pia najua kusuka baadhi ya mitindo najua kupika vitafunwa vya aina vyote na vyakula pia. Na pia najua kushona mazuria na pompom pia.

Asanten
kazi >> Receptionist<<
 
Eva kama mpaka mwakani mwezi wa sita utakuwa haujapata kazi pa kueleweka tuwasiliane .
 
Kuna mzee mmoja hivi mstaafu alikuwa anahitaji mtu kama wewe sasa sijui bado ana uhitaji hadi sasa, nikiwasiliana naye nitakupa mrejesho
 
Eva tuma hata kapicha kako basi tujue tunafanyaje ili tuweze kufanikisha hilo suala,
 
Eva kama mpaka mwakani mwezi wa sita utakuwa haujapata kazi pa kueleweka tuwasiliane .
Tunahitaji wafanyakazi wawili (wa kike) i wenye uzoefu na staionary.computer na pia kufundisha au kuelekeza wanafunzi kutumia computer.Pia awe na uwezao wa kusimamaiaw wengine ofisini wasiliana nasi -0717157640
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom