Natafuta kazi yoyote mkoa wowote

mtanga255

Member
Sep 25, 2017
28
8
Mimi ni kijana jinsia ya kiume mwenye umri wa miaka 24 elimu kidato cha 4 Niko mkoani Tanga natafura kazi yoyote halali Tanzania pia nilishawahi fanya kazi ya Duka la vyakula na duka la nguo/vipodozi na nina uwezo mzuri wa kutumia kompyuta nilisomea ICDL katika chuo cha UCC Dar es salaam.

Mungu awafanyie wepesi katika kila jambo Inshaa_allah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom