Natafuta kazi yoyote mkoa wa Arusha

Boykaa

Member
May 10, 2016
46
43
Habari zenu wana jamvi. Mimi ni kijana wa kiume natokea mkoa wa Arusha. Ninaomba kwa yeyote mwenye connection ya Kazi yoyote halali kwa mkoa wa Arusha tupeane. Elimu yangu in Shahada ya Uhasibu na Nina uzoefu wa miaka 2 kwa nafasi ya uhasibu na miaka 3 kwa nafasi ya Afisa Masoko kwenye kampuni ya mambo ya Utalii. Kiukweli sichagui kazi nipo tayari kufanya kazi yoyote ile ilimradi iwe ni kazi halali na yenye kipato kitakachokidhi mahitaji. Kwa yoyote mwenye connection naomba anisaidie kwa kucoment hapa nitamfwata DM.

NB: Sijaweka namba yangu kwasababu baadhi ya watu wengi hawapo serious huku, Kwa wale wenye uwezo wa kunisaidia karibuni.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom