Ni pm number yako nikufanyie interview nione kama una uelewa wowote.
Kuwa makini unaweza kuahidiwa ajira huku ukiweka mwili wako rehani, baada ya kuchambuliwa kama karanga utaachwa solemba.
Dogo kuwa makini na Jamii forum , tumia busara zaidi kujua nani mwema wa kukupa msaada.
Utaishia kut*****wa na kuchezewa hiyo kazi utaisikilizia kwenye Bomba.
Hio Certificate na Elimu yako inaniambia hauhitaji ajira bali wewe ndio unaweza hata kuniajiri mimi au kuniambia vipi naweza kupata mkate wangu wa kila siku.....Habari wapendwa mimi ni kijana wa kike nina umri wa miaka 27 elimu yangu ni kidato cha nne pia nina certificate ya entrepreneurship natafuta kazi yoyote kati ya hizi:-
Asanteni
Wacha hizo bwana...huyu bonge la personal secretary
Dogo kuwa makini na Jamii forum , tumia busara zaidi kujua nani mwema wa kukupa msaada.
Utaishia kut*****wa na kuchezewa hiyo kazi utaisikilizia kwenye Bomba.
Personally ntakuajiri baada ya miezi miwili yaan 1st of May kama bado utakuwa hujapata ajira.Habari wapendwa mimi ni kijana wa kike nina umri wa miaka 27 elimu yangu ni kidato cha nne pia nina certificate ya entrepreneurship natafuta kazi yoyote kati ya hizi:-
Stationary
Secretary
Duka lolote
Reception
Costumer Care
Wakala wa miamala Mbalimbali
Nina uzoefu wa Computer Full Stationary Service Nimewahi kufanya sehemu Mbalimbali kwa kujitolea hivyo nahitaji kupata ajira kwasasa niko vizuri sana.
Nipo Dar es salaam Tabata.
Naombeni ni PM kwa maelezo zaidi
Asanteni
Ila dada yetu kwa nini usjiajiri tu au ulisomea kitu usichokijua?
Hio Certificate na Elimu yako inaniambia hauhitaji ajira bali wewe ndio unaweza hata kuniajiri mimi au kuniambia vipi naweza kupata mkate wangu wa kila siku.....
Personally ntakuajiri baada ya miezi miwili yaan 1st of May kama bado utakuwa hujapata ajira.
Kila la kheri...
Mimi tajuaje ndugu nilidhani hayo ndio mgejifunza huko kwenye Entrepreneurship CertificateNaomba mtaji ndugu au kuna kujiajiri bila mtaji
Mimi tajuaje ndugu nilidhani hayo ndio mgejifunza huko kwenye Entrepreneurship Certificate
1. Personal Savings; Hizo utakuwa hauna
2. Patient Capital; Ndugu jamaa na marafiki
3. Angel Investing; Hapa kama una wazo zuri unaweza kuongea na mtu mwenye pesa akawekeza kwako
4. Venture Capital; Sawa kama angel investing
5. Incubators; Sidhani kama hizi Bongo ni nyingi ili zipo
6. Bank Loans; Hii ni ngumu kama hauna Collateral ila labda VIKOBA, n.k.
7. Government Grants; Hii ni ngumu unless una kitu ambacho kitasaidia Jamii
8. Bartering; Hii unaweza kufanya kama unatoa huduma mfano chakula au kuuza bidhaa unaweza kupata bidhaa kwa mali kauli
9. Partnership; Kama una kitu (ujuzi idea n.k.) tafuta mwenye funds mfanye kazi
10. Peer-to-Peer Lenders; Bongo sio nyingi
11. Major Customer Commitment; Kama una ujuzi fulani au bidhaa fulani unaweza kuongea na mteja akakupa commitment ya kununua wewe ukatumia hiyo commitment kutafuta loan either Bank au kwa Wadau
12. Crowdfunding Campaign; Bongo sio nyingi
Vipi kama Mwajili wake ni Maxence MeloUkipata kazi jitahidi upunguze mambo ya kushinda jamii forum maana utakosana na mwajili wako
Vipi kama Mwajili wake ni Maxence Melo