Natafuta kazi yoyote ile ya kujitolea ilimradi nipate sehem ya kulala na kula tu

Pole sana ndugu yangu, Mungu atakushika mkono.

Ila kuna baadhi ya watu humu JF ni wapumbavu sana, mtu akija na I'd yake ya siku zote kuomba msaada wataanza kumhukumu kutokana na aina ya mada/comments anazoziandika humu na hiyo kitu inawakatisha tamaa watu wanaohitaji msaada na ndio maana wengi wanakuja na I'd mpya.
 
Tup
Waungwana nimekuja kwenu, anayeweza anisaidie nipate kazi ya kujitolea nipo tayari kufanya kazi sehem yoyote ile, ilimradi ni kuwa na sehem yakunihifadhi na kula tu

🙏🙏🙏
Tupe wasifu wako kidogo wewe ni me au ke, elimu, unapoishi, umri, na uzoefu wako kidogo
 
Waungwana nimekuja kwenu, anayeweza anisaidie nipate kazi ya kujitolea nipo tayari kufanya kazi sehem yoyote ile, ilimradi ni kuwa na sehem yakunihifadhi na kula tu

🙏🙏🙏
tuwasiliane 0717157640
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom