Natafuta kazi yoyote ile ila isiwe Ulinzi. Nipo Dar es Salaam

MWEMBEKIUNO

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
1,811
2,000
Kama upo serious njoo tuuze chips bunju hapa nichek 0621 523916

(NB usibague kazi cha msingi mkono uende kinywani, mimi mwenyewe ni degree holder tena MD lakin nauza kiepe)
 

Tariq Mimi

JF-Expert Member
Apr 10, 2020
354
1,000
Kama upo serious njoo tuuze chips bunju hapa nichek 0621 523916

(NB usibague kazi cha msingi mkono uende kinywani, mimi mwenyewe ni degree holder tena MD lakin nauza kiepe)
Kwa kuwa upo katika field tayari ungemuainishia pia ni kwa namna gani anaweza kunufaika
 

Nicolas Pepe

Member
Aug 6, 2019
13
45
pole sana rafiki yangu...mimi nina diploma ya uandishi wa habari lakini ni mlinzi mzuri kwenye kampuni ninayofanyia kazi mtu anaelipwa kiwango kidogo cha mshahala ni 250k...ambayo haina longo longo kabisa...mimi ni mlinzi ambae sina cheo chochote na ninachukua mshahala mzuri tu zaidi ya 580k kwa mwezi...sasa wewe mwenzangu na elimu yako ya kidato cha nne kweli unachagua kazi...?
Naomba konekshen mkuu mm mwanamke elimu ya msingi 29yrs .Misaidie bro

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,082
2,000
Please wana JF kama nilivyosema kwenye kichwa hapo juu. Natafuta kazi yeyote ile ila isiwe ulinzi nipo Dar es Salaam

Kama kuna mwenye connection please naomba anisaidie na mimi niweze kujikwamua

Jinsia yangu ni wa kiume
Umri miaka 23
Elimu yangu Form 4

Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote ule ndani na nje ya Tanzania

Ntafurahi sana kama mtanishika mkono wana JF

Mungu awabariki sanaaaa
Nina kampuni yangu ipoo sinza inaitwa bata batani tuna deal na maswala ya promotions kwa sasa tunatafuta dancers wanaoweza kucheza kutangaza bidhaa mtaani

Kama uko tiyali niambie kufanya kazi nicheki pm
 

Prince Mhando

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
7,206
2,000
Naomba konekshen mkuu mm mwanamke elimu ya msingi 29yrs .Misaidie bro

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
wanawake wanaitajika sana.......unachotakiwa ni kuwa na cheti chako cha darasa la 7...hukju ukiambatanisha na cheti cha kuzaliwa..pamoja na namba ya nida au kitambulisho cha nida..ofisi...........zao zipo pale kwa mwinyi mikocheni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom