Natafuta kazi yoyote halali

Kitaabalaa

Member
Aug 13, 2019
69
148
Mimi kijana mwenye miaka 29 natafuta kazi yeyote kuhusu elimu mi degree holder, lakini njaa haijui Mambo ya degree.

Nahitaji kazi yeyote iwe halali au haramu. Naweza fanya sales and marketing KUTOKANA na experience ya miaka 3 niliyowahi kufanya kazi Huko nyuma.

Niko morogoro

Nikisema haramu najua mtashangaa lakini maisha haya fucken sana..mliopitia kipindi Kama hiki especially wanaume wenzangu mnaelewa Sana how it feels......


Najua watu wa serikali mnaweza nitega..kiukweli ntategeka

Mwanaume pride yake Ni kuhudumia ampendae na family yake..hivo ngoma inapokua ngumu ndo Mana tunafikiaa maamuzi magumu...

Kazi.kazi..kazi..ata ya labour tu..na dayworker
 
Narudi Tena kijana wenu kuomba kazi najua humu wapo maboss wakubwa naweza kufanya Kazi yoyote ile ya kutumia nguvu..au
.sales & marketing....mlinzi maana sijapita jkt lakini Niko fiti...mwenye kazi yoyote aniwezeshe..Niko Moro...
 
Bora ungebaki hapo hapo kwenye kazi halali bila kuunganisha na Haram... Ni ushauri tu umewaogopesha baadhi ya watu maana akili zimehamia kwengine. Hata huko kwa boss utamfanyia mambo haram. Nakutakia kila heri.
 
Bora ungebaki hapo hapo kwenye kazi halali bila kuunganisha na Haram... Ni ushauri tu umewaogopesha baadhi ya watu maana akili zimehamia kwengine. Hata huko kwa boss utamfanyia mambo haram. Nakutakia kila heri.
Najua nimewaogopesha...lakini mi Ni muaminifu ...na kusema haramu haimaanishi mi sio muaminifu boss...Ni kua hapo maji yako shingoni..hivo Niko tayari kwa lolote
 
Wanaume waliopitia situation ngumu najua wanajua inafika kipindi mtu unachafukwa roho na kua tayari kufanya lolote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom