Natafuta kazi yoyote halali

netti mimi

Senior Member
Oct 10, 2016
147
108
Jamani wapendwa habari zenu...

Nakuja na ombi lilelile bado sijapata kazi mpaka sasa hivi naomba msaada jamani nipate kazi yoyote mambo hayaendi.

Nimesomea ualimu ngazi ya shahada lakini mpaka sasa sijabahatika kupata, please naombeni mnisaidie tafadhali.

Pia nina ujuzi wa computer kwenye vitu kadhaa.

Asanteni.
 
Nakuombea sana mkuu. Mungu akubariki ufanikiwe hitaji lako.

Aaamen
 
Kama una page insta, kama hauna unaweza kufungua
search hii page
ajira_biashara_michezo

huwa wanapost matangazo ya kazi mbalimbali kila siku, unaweza kuangalia, natumaini hutakosa
Kila la heri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom